Shouts
Want to share your thoughts about this track? Join Last.fm or log in to leave a shout.
-
Discoteque77
Malaika, nakupenda Malaika. Ningekuoa mali we, ningekuoa dada. Nashindwa na mali sina we, Ningekuoa Malaika. Pesa zasumbua roho yangu. Nami nifanyeje, kijana mwenzio. Nashindwa na mali sina we. Ningekuoa Malaika. Kidege, hukuwaza kidege Kidege, hukuwaza kidege. Ningekuoa mali we, ningekuoa dada. Nashindwa na mali sina, we Ningekuoa Malaika. Malaika, nakupenda Malaika Malaika, nakupenda Malaika
Actions
-
roquegypsy
you should hear miriam makeba do the original.it is beautiful and haunting indeed.bravo angelique!
Actions
-