Playing via Spotify Playing via YouTube
Skip to YouTube video

Loading player…

Scrobble from Spotify?

Connect your Spotify account to your Last.fm account and scrobble everything you listen to, from any Spotify app on any device or platform.

Connect to Spotify

Dismiss

Lyrics

Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Ningekua na mali, ninge kuowa jaja
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa Malaika
Pesa zasumbua roho yangu
Pesa zasumbua roho yangu

Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa Malaika ebah

Lyrics continue below...

Don't want to see ads? Upgrade Now

Kidege, kukuwaza kidege
Kidege, kukuwaza kidege
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina, we tchongili
Ningekuoa Malaika

Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa Malaika
Pesa zasumbua roho yangu
Pesa zasumbua roho yangu
Nami nifanyeje, ki-kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa Malaika
Ningekuoa Malaika
Ningekuoa Malaika

Writer(s): William Fadhili

Don't want to see ads? Upgrade Now

Similar Tracks

API Calls