Playing via Spotify Playing via YouTube
Skip to YouTube video

Loading player…

Scrobble from Spotify?

Connect your Spotify account to your Last.fm account and scrobble everything you listen to, from any Spotify app on any device or platform.

Connect to Spotify

Dismiss

Trapped Inside the Planet of the Roller-skating Bees

Lyrics

Mi nataka twende nikutambulishe nyumbani
Mi nataka twende tukaone daddy na mummy
Mi nataka twende nikutambulishe nyumbani
Mi nataka twende tukaone daddy na mummy Tukaserebuke serebuke serebuke (mimi na wewe)
Tukaserebukke serebuke serebuke (mimi na wewe)
Ok, after Dodoma nliamua sitaipenda, mabinti wengi, nao walinitendaNikaamua ni yeye, yule wa kiwewe, tamaa nayo nyingi akaamua anicheze(Ungejua anavyo kuchukia)
Naskia biblia husema, yule alikutenda, nafasi msamehe, kama unampenda
Nikienda zangu, we jua natenda wema, npe muda kwa jiko nione kama ntakua dema(We ni mkali mkali mkali)
Na nilichoka sana na ubachelor, nara nakula kwa hoteli, kanjo ametokeaSoup ya nyama transparent, maji imeongezewa, nguo zangu chafu mgongo umebembeaKuja nami, nmeamua tutaelekea, mum na dadwanatongojea, kwako najitetea
Mi nataka twende nikutambulishe nyumbani
Mi nataka twende tukaone daddy na mummy
Mi nataka twende nikutambulishe nyumbani
Mi nataka twende tukaone daddy na mummy
Tukaserebuke serebuke serebuke (mimi na wewe)
Tukaserebukke serebuke serebuke (mimi na wewe)
Haupendi, vile nakuficha ka siri, twende we-we-western niku-intro ka bibiNdwele, yaliyopita si unajua, nywele, nalike body shape na nyuma(We ni mzuri hauna kifani)
Na ukipika unamake hilton ikae ka kibandaSupu tick; sijui kama ulitumia nyanyaMtradition, sofa na kitambaa, home to soko, mtaani hapendi kuranda(Aki ni wewe kweli)
Past one year, matha amekua on my caseAnajua the obinna's au huanga nataste tudame ivi ivi (ivi ivi)So beba bag bibi, tukutane jiji, natamani mtoi aseme gigigigiTwende twende mami, jibu inabidi
Mi nataka twende nikutambulishe nyumbani
Mi nataka twende tukaone daddy na mummy
Mi nataka twende nikutambulishe nyumbani
Mi nataka twende tukaone daddy na mummy
Tukaserebuke serebuke serebuke (mimi na wewe)
Tukaserebukke serebuke serebuke (mimi na wewe)
Bridge
Uonaombwa basi baby kubali, saa hii mambo shwari, ntakulinda kwa hali na mali
Wazazi wameweka tick, we jua ni kwishaWe frame mi canvas, tumekamilisha pichaNimekamilika, aslimia zaidi ya mia, unasitasita, ka unapenda wacha ficha ficha
Twende, tumake it official, kama Mrs.mimi, nikuapishe
Mi nataka twende nikutambulishe nyumbani
Mi nataka twende tukaone daddy na mummy
Mi nataka twende nikutambulishe nyumbani
Mi nataka twende tukaone daddy na mummy
Tukaserebuke serebuke serebuke (mimi na wewe)
Tukaserebukke serebuke serebuke (mimi na wewe)

Writer(s): Stephen Perry

Don't want to see ads? Upgrade Now

Similar Tracks

API Calls